Mass-dispensing Tea (Breast Care Tea)
Viungo:
Radix Angelicae Sinensis, Vatica Mangachapoi, Radix Rehmannia Glutinosa, Poria Coccus, Paeonia Lactiflora, Ligusticum Wallichii, Pittospori Glabrati, Cyperus Rotundus, Rhizoma Pinelliae Preparata, Coix Lacryma-Jabi
Kazi Na Faida Zake
- Kuboresha mzunguko wa damu na kuzuia kupungua kwa kasi au kusimama kwa mzunguko wa damu (blood stasis), hali ambayo kulingana na tiba ya asili ya kichina (TCM), ndicho chanzo kikuu cha uvimbe
- Kuzuia matatizo ya ndani ya matiti, pamoja na uvimbe (fibroadenomas), na kansa ya matiti
- Kuzuia kansa ya matiti na kurudia kwa kansa baada ya upasuaji wa matiti
- Kupunguza ukubwa wa uvimbe ndani ya matiti
- Kuboresha kinga za mwili
Yafaa Kutumika Kwa:
- Wanawake wenye uvimbe ndani ya matiti
- Wanawake wenye matatizo kwenye matiti kama ya fibroadenomas, uvimbe wa kawaida na saratani ya matiti
- Wanawake wenye nia ya kutunza afya ya matiti
- Wanawake wenye nia ya kuboresha afya ya matiti.
Maelezo Muhimu:
Kuenea Na Udhibiti Wa Saratani Ya Matiti
Saratani ya matiti ni moja vyanzo vikuu vya vifo vya wanawake duniani. Tatizo la janga hili lina ukubwa wa hadi mara tano kutoka sehemu moja hadi nyingine, na linazidi kuongezeka kwa kasi hata sehemu zile ambako hadi karibuni janga halikuwa kubwa sana. Matatizo mengi yanahusishwa na estrogens.
Radix Angelicae Sinensis huzuia seli za kansa moja kwa moja na kuboresha kinga za mwili. Radix angelicae Sinensis Raphtha huongeza mzunguko wa damu ndani ya ateri za moyo, hupunguza matumizi ya oksijeni kwenye misuli ya moyo, huongeza uwingi wa damu inayosukumwa na moyo, na kuzuia kuziba kwa misuli ya moyo.
Ligusticum Wallichii hupunguza sumu zinazotokana na tiba za chemotherapy na radiotherapy, bila kupunguza matokeo yaliyotarajiwa. Lingusticum Wallichii phosphoramide huboresha shughuli za seli za Nk, huongeza uzalishwaji wa seli nyeupe za damu.
Coix Lacryma-Jabi polysaccharide na mafuta ya mbegu za coix huweza kuboresha kinga za mwili na kuzuia uvimbe. Huzuia ujenzi wa seli za kansa. Utendaji wa tiba wa Coix lacryma-Jabi ni mkubwa, ikitumika peke yake na hata ikichanganywa na vitu vingine.
Poria Coccus polysaccharide na Poria Coccusin huzuia uvimbe. Poria Coccus Polysaccharide na mchanganyiko wa Poria Coccus triterpane huboresha kinga za mwili. Poria Coccus triterpane huzuia uvimbe, huzuia kichefuchefu na kutapika, huboresha shughuli za insulin. Leopoldite iliyomo ndani ya Poria Coccus hupunguza pressure ya damu na kuongeza mkojo.
<<<<< MWANZO